image

Faida 7 za maji ya
kunywa kwa afya
yako— Maji ni muhimu sana
kwa afya yako, ukinywa
maji kwa siku katika
kiwango kinachotakiwa
kiafya utaondokana na
matatizo mengi ambayo
mengine ungelazimika
kutumia dawa mfano
vidonge vya kupunguza
maumivu (pain killers)
na matatizo mengine
yanayohusiana na
uchovu wa mwili.
Kabla sijaorodhesha
faida mbalimbali ni
vizuri ujue, je kama
ukipungukiwa na maji
mwilini ni athari au
mataizo gani unayopata?
Ukipungukiwa na maji
mwilini unaweza
kujisikia uchovu, kichwa
kuuma, ngozi
kukakamaa kutokana na
kukauka, chakula
kutosagwa vizuri
ambapo unaweza pata
shida kujisaidia haja
kubwa nakadhalika.
Vilevile kama
ukipungukiwa na maji
mwilini utaweza kuwa
na hizi dalili,by farayare

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s